Wilfried Singo
Mandhari
Wilfried Stephane Singo (alizaliwa 25 Desemba 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ivory Coast, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Ivory Coast.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Francesco Vittonetto (2019-06-10). "Dal Denguélé al sogno Serie A col Toro: alla scoperta di Singo". Toro.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
- ↑ Francesco Vittonetto (2019-10-23). "L'evoluzione di Singo: da centrale a esterno, Sesia ha un giocatore duttile". Toro.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wilfried Singo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |