Wild Salmon Center

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Wild Salmon Center (WSC) ni shirika la kimataifa la uhifadhi na ulindaji wa samaki aina ya Samoni pamoja na usimamizi wa mfumo wa ikolojia.[1] Makao makuu ya shirika hili yapo katika mji wa Portland nchini Marekani, shirika hili linafanya kazi na mashirika mbalimbali ya kijamii,wafanya biashara,serikali na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali katika kusimamia na kulinda ikolojia na uhai wa samaki aina ya Samoni,kaskazini mwa Pasifiki .[2] Shirika hili linapatikana pia katika nchi za Urusi, Japan,Kolombia pamoja na sehemu nyingine duniani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Chivers, CJ. The New York Times. "Salmon Find an Ally in the Far East of Russia"", October 15, 2006. 
  2. Portl, Wild Salmon Center 721 NW Ninth Ave Suite 300; Center, OR 97209 © 2021 Wild Salmon. "Our Story".