Wilaya ya Tarime Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Tarime Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara.

Katika sensa ya mwaka 2022, wakazi walihesabiwa 133,043 [1].

Makao makuu ya wilaya yapo mjini Tarime.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Tarime Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania

Bomani * Kenyamanyori * Ketare * Nkende * Nyamisangura * Nyandoto * Sabasaba * Turwa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tarime Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.