Nenda kwa yaliyomo

Nanyamba (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Nanyamba)

Nanyamba ni mji na halmashauri katika Mkoa wa Mtwara. Msimbo wa posta ni 63213.

Maeneo yake yalitengwa na Wilaya ya Mtwara Vijijini mwaka 2015.[1]

Mnamo 2015 idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 107,112[2].

Nanyamba iko takriban kilomita 70 kutoka Mtwara kwenye barabara A19.

  1. Historia, tovuti ya Halmashauri ya mji Nanyamba, iliangaliwa Oktoba 2020
  2. [Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Kata za Wilaya ya Nanyamba Mjini - Mkoa wa Mtwara - Tanzania

Chawi | Dinyecha | Hinju | Kiromba | Kitaya | Kiyanga | Mbembaleo | Milangominne | Mnima | Mnongodi | Mtimbwilimbwi | Mtiniko | Namtumbuka | Nanyamba | Nitekela | Njengwa | Nyundo


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanyamba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.