Wilaya ya Mpwapwa
Mandhari
Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41600[1].
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 305,056. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 403,247 [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ||
---|---|---|
Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Mang'aliza | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlembule | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Ng'hambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wangi | Wotta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mpwapwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |