Nenda kwa yaliyomo

Liwale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Liwale)

Wilaya ya Liwale ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 75,546 [1].

Wenyeji wa sehemu hii ni hasa Wangindo.

Wakati wa ukoloni wa Kijerumani Liwale ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Kilwa. Liwali kulikuwa na boma ikiwa mahali pa ofisi ndogo (jer. Bezirksnebenstelle) ya Mkoa wa Kilwa. Boma la kwanza lilishambuliwa na kuharibika wakati wa vita ya Majimaji. Barabara ya kwanza ilijengwa wakati wa Wajerumani ikaunganisha Liwali na Kilwa,

Kata za Wilaya ya Liwale - Tanzania

Barikiwa | Kiangara | Kibutuka | Kichonda | Kimambi | Likongowele | Lilombe | Liwale "B" | Liwale Mjini | Makata | Mangirirkiti | Mbaya | Mihumo | Mirui | Mkutano | Mlembwe | Mpigamiti | Nangando | Nangano | Ngongowele


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Liwale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.