Wilaya ya Kibaha Vijijini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kibaha)
Wilaya ya Kibaha ni wilaya katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61200 .
Mwaka 2012 wilaya hii iligawiwa kuwa wilaya mbili za pekee, Kibaha Vijijini pamoja na ile ya Kibaha Mjini.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya ya Kibaha Vijijini ilihesabiwa kuwa 70,209 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 123,367 [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-22.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania | ||
---|---|---|
Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kawawa | Kikongo | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibaha Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |