Dodoma vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Dodoma Vijijini)
Mahali pa Dodoma Vijijini (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Dodoma Vijijini ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440,565 [1].

Tangu mwaka 2007 imegawiwa kuwa wilaya 2 mpya za wilaya ya Bahi na wilaya ya Chamwino.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kata za Wilaya ya Dodoma vijijini