Wilaya ya Bariadi Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bariadi kati ya wilaya za Shinyanga kabla ya mkoa kumegwa mwaka 2012.

Wilaya ya Bariadi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Simiyu, yenye postikodi namba 39100 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 422,916 [2] Misimbo ya posta ya wilaya hii inaanza kwa 391xx.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. Sensa ya 2012, Simiyu Region - Bariadi District Council
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bariadi VijijiniMkoa wa Shinyanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Banemhi | Dutwa | Gambosi | Gibishi | Gilya | Ihusi | Ikungulyabashashi | Itubukilo | Kasoli | Kilalo | Masewa | Matongo | Mwadobana | Mwasubuya | Mwaubingi | Mwaumatondo | Ngulyati | Nkindwabiye | Nkololo | Sakwe | Sapiwi