Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Kona ya majadiliano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wikipedia:Kona ya majadiliano ni sehemu pa kujadiliana kwa shughuli za mradi mzima wa Wikipedia kwa Kiswahili. Lengo ni kutaka kuwa kila kile ambacho kinatazamiwa kita tumika kwa mradi huu baadaye, basi kijadiliwe hapa kama kina umuhimu! Kwa mapendekezo ya vitu ambavyo vinategemewa kujengwa au hata kama tayari vishakuwa, basi huwekwa hadharani na watu waanze kutoa michango yao na fikra kwa ujumla.

Hifadhi ya majadiliano ya zamani

[hariri chanzo]

Kama mgeni anavyohitaji kujiwasilisha, naam, ni wakati mwingine nawasalimu wote kwa kuweza kujiunga nanyi mahala hapa.

)
Nami ninasema naam, basi karibu! Ukiwa una swlali - we uliza tu na utajibiwa!--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:26, 25 Novemba 2009 (UTC)[jibu]