Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Istilahi mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya maneno mapya ya Kiswahili, ambayo bado hayajaonekana katika kamusi. Mengine yametungwa moja kwa moja hapa katika Wikipedia ya Kiswahili, mengine yameshatungwa nje ya Wikipedia, lakini bado hazijaandikwa katika kamusi. Imeandikwa pia istilahi katika Kiingereza kwa sababu mara nyingi, istilahi hizi mpya zimetungwa kwanza katika Kiingereza.

Istilahi za uendeshaji wa Wikipedia yenyewe zinapatikana katika orodha ya istilahi za wiki.

Taratibu ya kutunga istilahi mpya hapa Wikipedia yanapatikana katika mwongozo wa kutunga istilahi.


Kiswahili Kiingereza Maelezo Mifano ya

matumizi
yake

uonyesho wa kawaida regular expression kodi za programu zinazotumika kutafuta herufi fulani translatewiki.net