Welenga ni albamu ya kwanza ya Wes Madiko na Michel Sanchez, iliyotolewa mnamo mwaka 1996 kupitia Saint George Records. Albamu hii ilishika nafasi ya 10 bora nchini Ureno.[1]