Nenda kwa yaliyomo

Watazamaji wa kudumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Watazamaji wa kudumu katima Umoja wa Mataifa ni nchi ambazo si wanachama, lakini Mkutano mkuu wa UM umezikubali zishiriki katika shughuli zake mbalimbali, lakini bila ya haki ya kupiga kura.

Mwaka 2013 nchi za namna hiyo zilikuwa mbili tu, Ukulu mtakatifu na Palestina.

Mbali na hizo, kuna taasisi nyingi zenye hadhi ya watazamaji.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]