Wasatch Range

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima ya Wasatch Range, Januari 2006

Wasatch Range ni safu ya milima ya majimbo ya Utah na Idaho (Marekani).

Urefu wake katika [[mlima Nebo]] unafikia hadi mita 3,636 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wasatch Range kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.