Wasafi Tv

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wasafi Tv
Wasafi tv logo.jpg
Shina la studio Wasafi Media
Imeanzishwa Februari 26 2018 (2018-02-26) (umri 1)
Mwanzilishi Alikiba na Diamond Platnumz
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Tanzania
Tovuti http://wasafi.tv

Wasafi Tv ni televisheni ya nchini Tanzania inayomilikiwa na Alikiba pamoja na msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.

Kituo hicho cha televisheni kilizinduliwa rasmi mwaka 2018 mwezi Februari. Televisheni hiyo ni maarufu kwa kurusha nyimbo za Bongo Flava.