Warren Zaïre-Emery
Mandhari
Warren Zaïre-Emery (alizaliwa 8 Machi 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ufaransa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "France - W. Zaïre-Emery - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Warren Zaïre-Emery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |