Warohingya
Warohingya ni kundi lenye utamaduni wa Kiislamu katika Myanmar (Burma) ya magharibi linaloishi katika Dola la Rakhaing (Arakan) nchini Myanmar (Burma) hasa. Makundi mengine kutoka kwao wako pia nchini Bangla Desh. Wanaongea lugha ambalo ni karibu na Kichittagong na Kibengali.
Kwao nyumbani hawakubaliwi kama wazalendo iandaiwa ya kwamba walihamia hapa kutoka Bara Hindi hasa wakati wa Uhindi wa Kiingereza. Tangu 1983 waliondolewa uraia wa Burma. Kulikuwa na mawimbi ya mashambulio kutoka majirani yao ya Kiburma.
Mnamo mwaka 2013 takriban Rohingya 735,000 walikadiriwa wakiishi nchini Myanmar (Burma) hasa katika kaskazini ya mkoa na kwenye sehemu za pwani. Hapo ni asilimia 80-98 za wakazi. Zaidi ya milioni 1 wamekadiriwa kuishi nje ya nchi, wengi wakiwa wakimbizi.
Taasisi za kimataifa zimesema kuwa Warohingya wako kati ya vikundi wa watu wanaoteswa zaidi duniani.[1]
Mwaka wa 2015, hali ya kusikitisha ya wakimbizi Warohingya kwenye bahari ya Kihindi iliripotiwa kipana na vyombo vya habari vya kimataifa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kuihusu hali ya Warohingya katika Bangladesh". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-19. Iliwekwa mnamo 2015-05-17.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Rohingya Ilihifadhiwa 29 Aprili 2014 kwenye Wayback Machine., makala ya K. M. Mohiuddin katika Banglapedia
- A Short Historical Background of Arakan makala katika Rohingya Times, 2003 (Internet Archive)
- Myanmar: The Rohingya Minority: Fundamental Rights Denied Ilihifadhiwa 13 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine., Taarifa ya Amnesty International, 18. Mai 2004
- rohingya.org, Tovuti ya Arakan Rohingya National Organization
- Tovuti ya Kaladan Press Network
Kujisomea
[hariri | hariri chanzo]- Leider, Jacques (2013). Rohingya: the name, the movement and the quest for identity (PDF). Myanmar Egress and the Myanmar Peace Center. ku. 204–255.
- Yegar, Moshe (2002). Between integration and secession: The Muslim communities of the Southern Philippines, Southern Thailand, and Western Burma / Myanmar. Lanham, MD: Lexington Books. ISBN 0739103563.
- Yegar, Moshe (1972). Muslims of Burma. Wiesbaden: Verlag Otto Harrassowitz.
- "Myanmar:The Politics of Rakhine State" (PDF). International Crisis Group. 22 Oktoba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-11-06. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Khin Maung Saw (Mei 1993). "Khin Maung Saw on Rohingya" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2015-05-17.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - Aye Chan (2005). "The Development of a Muslim Enclave in Arakan (Rakhine) State of Burma (Myanmar)" (PDF). SOAS. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-07-12. Iliwekwa mnamo 1 Novemba 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "Myanmar, The Rohingya Minority: Fundamental Rights Denied". Amnesty International. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-06-26. Iliwekwa mnamo August 2005.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - Harvey, G. E. (1925). History of Burma: From the Earliest Times to 10 March 1824. London: Frank Cass & Co. Ltd.
- Myint-U, Thant (2006). The River of Lost Footsteps—Histories of Burma. Farrar, Straus and Giroux. ISBN 978-0-374-16342-6.
- Phayre, Lt. Gen. Sir Arthur P. (1883). History of Burma (tol. la 1967). London: Susil Gupta.
- "Burma's Western Border as Reported by the Diplomatic Correspondence(1947 - 1975)" Ilihifadhiwa 18 Mei 2015 kwenye Wayback Machine. by Aye Chan