Wanyamapori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wanyama wa pori)
Panthera tigris.

Wanyamapori ni wanyama wanaoishi porini na huwa hawafugwi na binadamu kama baadhi ya wanyama wengine.

Wanyama hao ni kama vile Tembo wa Afrika, Simba, Twiga , Pundamilia, Chui, Kongoni, Sitatunga, Fisi na wanyama wengine.

Wanyamapori wanaweza kuwekwa pamoja katika sehemu iliyotengenezwa na kuitwa Zuu au bustani ya wanyama, lakini si eneo rasmi kwa wanyama hao kuishi.

Wanyamapori wamegawanyika katika makundi mbalimbali kulingana na upatikanaji wao. Makundi hao ni kama ifuatavyo:

  1. wanyama waliopotea kama vile dinosauri (mijusi wakubwa), vifaru weupe n.k.
  2. wanyama wanaokaribia kupotea kama vile ndovu au tembo, mbwamwitu duma n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyamapori kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.