Wanda Metropolitano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanda Metropolitano, mechi ikichezwa usiku.

Wanda Metropolitano ni uwanja mkubwa uliopo Madrid, Hispania. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Atlético Madrid tangu msimu wa 2017-18. Uwanja huu upo karibu na Rosas katika wilaya ya San Blas-Canillejas.

Halmashauri ya Madrid ilianza kuujenga uwanja huu tangu mwaka 2000-03 na kufunguliwa mwaka 2004. Baadae uwanja huu ulifungiwa na kufunguliwa mwaka 2014, uwanja huo ulifunguliwa rasmi baada ya kukarabatiwa mwaka 2017 kama nyumba ya Atletico Madrid. Metropolitano ukawa mbadala wa uwanja wa zamani wa Vicente Calderón.

Pindi ukikarabatiwa.

Metropolitano una uwezo wa kubeba watu 67,830. Mnamo 1 Juni, 2019, Wanda Metropolitano utatumika katika mechi ya mwisho ya UEFA Champions League yaani fainali kati ya Liverpool F.C., na Tottenham Hotspurs.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Wanda Metropolitano kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.