Nenda kwa yaliyomo

Walter Brandmüller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Walter Brandmüller (alizaliwa 5 Januari 1929) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Ujerumani na Kardinali tangu 2010.

Alikuwa rais wa Kamati ya Kipapa ya Sayansi ya Kihistoria kutoka 1998 hadi 2009.[1]

  1. "Letter from Rome | Commonweal Magazine". www.commonwealmagazine.org.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.