Wakala wa ukusanyaji madeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakala wa ukusanyaji madeni ni kampuni maalumu inayokusanya madeni kwa niaba ya mkopeshaji, hasa pale ambapo pana ugumu wa kufanya hivyo.

Mara nyingi wakala huo hudai kwa ukali na kutumia mbinu zote za sheria ili kuhakikisha pesa zinarudi, na hivyo kupata sehemu yake katika marejesho.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakala wa ukusanyaji madeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.