Waja Hospital

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waja Hospital ni hospitali inayomilikiwa na kampuni ya Waja General Company Limited ilianzishwa na kufanywa kuwa hospitali mwaka 2014 [1]

Ni hospitali inayopatikana katika mkoa mpya wa Geita.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-18. Iliwekwa mnamo 2020-03-07.