Wahidiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wahidiya ni aina ya kamusi ambayo hutafsiri maneno au misamiati kwa lugha ileile moja, mfano Kiswahili kwa Kiswahili au Kiingereza kwa Kiingereza.

Aina hiyo ya kamusi imeandikwa kwa kutumia lugha moja tu na inalenga wazungumzaji au wazawa wa lugha tu hiyo moja.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahidiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.