Uwanja wa michezo wa Wadley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wadley stadium)

Uwanja wa michezo wa Wadley unajulikana kama uwanja wa FNB Wadley kwa sababu ya udhamini, ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana katika mji wa Georgetown, Edendale mkabala na Pietermaritzburg.[1]

Ni nyumbani mwa klabu ya Maritzburg city kwenye ligi ya vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sustainable development project for George". 30 Aprili 2010. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wadley kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.