Uwanja wa michezo wa Wadley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Wadley unajulikana kama uwanja wa FNB Wadley kwa sababu ya udhamini, ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana katika mji wa Georgetown, Edendale mkabala na Pietermaritzburg.[1]

Ni nyumbani mwa klabu ya Maritzburg city kwenye ligi ya vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sustainable development project for George". 30 April 2010. Iliwekwa mnamo 12 November 2010.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wadley kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.