Nenda kwa yaliyomo

Waamoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa Waamoni huko Rujm Al-Malfouf, Amman, Yordani.
Qasr Al Abd ilijengwa na gavana wa Ammon kama mwaka 200 KK.

Amon (kwa Kiebrania עַמּוֹן ʻAmmôn; kwa Kiarabu a=عمّون|t=ʻAmmūn), ni jina la kabila la zamani lililotawala upande wa mashariki wa mto Yordani, leo nchini Yordani.[1][2][3]

Mji muhimu zaidi wa Waamoni ulikuwa Rabbah au Rabbath Ammon, mahali pa Amman ya leo, makao makuu ya Jordan.

Waliabudu hasa Milkom na Molekh (pengine ni majina mawili ya mungu yuleyule).

Kwa mara ya mwisho uwepo wao unatajwa katika kitabu cha karne ya 2.

  1. "Ancient Texts Relating to the Bible: Amman Citadel". University of Southern California. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-26. Iliwekwa mnamo 2011-01-11.
  2. MacDonald, Burton (1999). Ancient Ammon. BRILL. uk. 1. ISBN 9004107622, 9789004107625. {{cite book}}: Check |isbn= value: invalid character (help); Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)
  3. Levy, Tom (1998). The archaeology of society in the Holy Land. Continuum International Publishing Group. uk. 399. ISBN 0826469965, 9780826469960. {{cite book}}: Check |isbn= value: invalid character (help); Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]