Volvo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Volvo logo 2021-present
Volvo C30

Volvo ni kampuni kutoka Uswidi. Inatoa kwa mfano magari, ingawa magari walikuwa wakiuza ya Ford mwaka 1999. Kampuni ilianzishwa mwaka 1927.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Volvo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.