Nenda kwa yaliyomo

Vita ya wenyewe kwa wenyewe vya Libya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka kushoto kwenda kulia: Wafuasi wanaounga mkono serikali wenye silaha, Waandamanaji wanaoiunga mkono serikali waliokusanyika katika eneo la Green Square, amalo kwa sasa linajulikana kama Eneo la Mashahidi, waandamanaji wanaoipinga Serikali mjini Benghazi, Waasi wa Libya wakiwa kwenye tanki ya T-55 lililotekwa.

Vita ya wenyewe kwa wenyewe vya Libya au mapinduzi ya Libya ya mwaka 2011,[1] vilijulikana kama vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Libya, vikuwa ni vita vya kijeshi mwaka wa 2011 katika nchi ya Afrika Kaskazini ya Libya ambavyo vilipiganwa kati ya vikosi vinavyomtii Kanali Muammar Gaddafi baina ya waasi. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "A Visual Look Back at the Libyan Revolution", PBS, 20 October 2009. 
  2. "The main phases of the Libyan civil war | One thousand and one failings". clingendael.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 2023-09-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita ya wenyewe kwa wenyewe vya Libya kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.