Visiwa vya Musambwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Visiwa vya Musambwa ̈(pia Visiwa Pacha vya Musambwa au Masambwa) ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Rakai).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]