Visiwa vya Ildefonso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Ildefonso

Visiwa vya Ildefonso viko katika bahari ya Pasifiki kusini na ni sehemu ya Jamhuri ya Chile.

Kwa jumla vina eneo la kilometa mraba 0.2 na havina wakazi.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.