Visiwa vya Desventuradas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Visiwa vya Desventuradas (yaani Visivyobahatika) viko katika bahari ya Pasifiki na ni sehemu ya Jamhuri ya Chile.

Kwa jumla vina eneo la kilometa mraba 5.36 na havina wakazi wa kudumu.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Desventuradas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.