Vincent Bones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincent Bones ni mwimbaji wa nchini Afrika Kusini ambaye alishinda msimu wa kumi wa mashindano ya Idols Afrika Kusini mwaka 2014. [1] [2]

Baada ya takwimu za upigaji kura kutolewaa Bones alishinda karibu kila kura isipokuwa kura 4 ambapo Bongi Silinda alimpita na kupata kura nyingi zaidi. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Bones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.