Villarrica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Villarrica ni mlima wa Andes katika nchi ya Chile (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 2,847 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]