Nenda kwa yaliyomo

Victor Uwaifo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Victor Efosa Uwaifo (1 Machi 194128 Agosti 2021) alikuwa mwanamuziki, mwandishi, mchongaji sanamu, na mvumbuzi wa ala za muziki, mhadhiri wa chuo kikuu, nguli wa muziki, na kamishna wa kwanza katika heshima wa sanaa, utamaduni na utalii nchini Nigeria. [1]

  1. Njoku, Benjamin; Agbakwuru, Johnbosco; Aliu, Alemma. "All you need to know about late singer Victor Uwaifo". vanguardngr.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Uwaifo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.