Nenda kwa yaliyomo

Veronica Kamumbe Mutua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Veronica Kamumbe Mutua (alizaliwa 2 Februari 1992) [1] ni mwanariadha nchini Kenya ambaye hushiriki katika mbio za mita 400. Alishiriki katika mbio za mwaka 2017 za IAAF mashindano ya kupokezna vijiti ya dunia, akishiriki katika mbio za mita 400 za wanawake na mchanganyiko wa timu za mbio za mita 400. Alishiriki katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2018, na kufika nusu fainali katika mashindano ya wanawake ya mita 400.[2] Ubora wake wa kibinafsi katika mita 400 za sekunde 52.14 ulirekodiwa mnamo Juni 10, 2017.

Alizaliwa katika Kaunti ya Makueni.[3]

  1. "Veronica Kamumbe MUTUA | Profile | iaaf.org". www.iaaf.org. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.
  2. "Athletics | Result Women's 400m Semifinal 1 - Gold Coast 2018 Commonwealth Games". results.gc2018.com. Iliwekwa mnamo 2019-04-16.
  3. "Athlete Profile: Veronica Kamumbe Mutua".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Veronica Kamumbe Mutua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.