Vera Okolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vera Okolo
Amezaliwa 5 januari 1985
(Nigeria)
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji


Vera Okolo (alizaliwa 5 Januari 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza timu ya taifa ya Nigeria. Alicheza na klabu ya Delta Queens katika michuano ya wanawake ya Nigeria.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Vera Okolo, Sports Reference, Retrieved 2 February 2016
  2. Okolo seeks help for injury, Oluwashina Okeleji, December 2007, BBC, Retrieved 2 February 2016
  3. Vera Okolo, Vanguardngr.com, Retrieved 2 February 2016
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vera Okolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.