Vasiliy Tairov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Vasiliy Egorovich Tairov

Vasiliy Egorovich Tairov (au Vasyl[1] au Vasil;[2] alizaliwa 1859- alifariki 1938) alikuwa mwanakemia na mwanasayansi kutoka nchi ya Urusi na Armenia. Baada ya kujifunza winemaking nchini Ufaransa, yeye na binamu yake Nerses Tairan walifungua kiwanda cha kwanza cha brandy huko Armenia.[3]Tairov alianzisha Winemaking Bulletin, jarida huko Ukraina mwaka 1892.[4] Mwaka 1905 alianzisha chama chake kiitwacho V.Ye. Taasisi yake ya Viticulture na winemaking. Ilikuwa ya kwanza ya kisayansi ya Odessa. [2][5] [6]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vasiliy Tairov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Institute of Winegrowing and Winemaking named after Vasyl Tairov - Tairove (en).
  2. 2.0 2.1 Welcome to the website of the V.Ye. Tairov Institute of Viticulture and Winemaking (en-US).
  3. Kemper, Benjamin (June 14, 2020). Armenian Cognac Might Be the Booze World's Best Secret.
  4. Bortolot, Lana (February 27, 2022). Ukraine Is A Small But Mighty Market For Wine.
  5. Avetisyan, Vigen (2019-04-01). The Entrepreneur Family of Tairians – Short Overview (en-US).
  6. PanARMENIAN.Net - Mobile.