Valentina Acava
Mandhari
Valentina Acava ni mwandishi, mwalimu na msanii, mtetezi mkubwa wa kukomesha ukeketaji kwa kutumia warsha za kisanii na elimu. Alizaliwa na wazazi wa Italia naUgiriki na alilelewa Afrika Kusini. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valentina Acava kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |