Valéry Giroux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valéry Giroux (amezaliwa 24 Machi 1974) ni mwanafalsafa, wakili na mwanaharakati wa haki za wanyama kutoka Quebec, Canada."

Falsafa[hariri | hariri chanzo]

Falsafa ya Giroux ni ya kupinga ubaguzi dhidi ya viumbe vyenye uhai kwa sababu ya kutokuwa na uanachama wa kibinadamu. Aidha, anasisitiza kuwa uwezo wa kufikiri, au kutokuwa nao, hauna umuhimu wa maadili, akisema

"uwezi kutumia sifa hizi kuwapa thamani zaidi binadamu au kuwanyima kabisa;

Ushahidi ni kwamba hatumpi haki za msingi zaidi kwa binadamu wenye akili zaidi."[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Letarte, Martine. "Et si on mettait fin à l'exploitation des animaux?", Le Devoir, 2020-04-18. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valéry Giroux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.