Uwezo Mia Mia
"Uwezo Mia Mia" | ||
---|---|---|
![]() | ||
Wimbo wa Solo Thang akiwa na Godzillah
kutoka katika albamu ya I Am Travellah | ||
Umetolewa | Januari 2012 | |
Umerekodiwa | 2011 | |
Aina ya wimbo | Hip Hop | |
Lugha | Kiswahi/Kiingereza | |
Mtunzi | Solo Thang na Godzillah | |
I Am Travellah orodha ya nyimbo | ||
|
Uwezo Mia Mia ni wimbo ulioimbwa na Solo Thang akiwa na Godzillah. Wimbo unatoka katika albamu ya I Am Travellah iliyotoka mwaka wa 2011. Ni moja kati ya albamu alizotoa kiwa nchini Uingereza. Humu anamshirikisha msanii wa nyumbani Godzillah ambaye kwa sasa anaonekana kutingisha medani ya muziki wa hip hop kwa Tanzania. Hasa alisifika kwa mtindo wake wa freestyle. Katika wimbo wanazungumzia mambo kadha wa kadha yanahusu uhalisia au uhakika wa kufanya jambo unalotaka kwa asilimia 100.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Uwezo Mia Mia[dead link] kwa Samboja
- Uwezo Mia Mia katika blogu ya Solo Thang
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |