Uwanja wa mpira Chamazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa mpira Chamazi ni uwanja uliojengwa mwaka 2013, unaochukua mashabiki zaidi ya 4000[1].

Uwanja huu unamilikiwa na timu ya Azam F.C. chini ya mwekezaji Said Salim Bhakresa . uwanja wa mpira chamazi umejengwa Mbagala, mkoa wa Dar es Salaam.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Azam FC - Stadium - Chamazi Stadium". www.transfermarkt.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mpira Chamazi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.