Uwanja wa michezo wa mji wa Zaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wamichezo wa Mji wa Zaria ni uwanja wenye matumizi anuwai katika kitongoji cha Samaru cha huko Zaria, nchini Nigeria. Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa muda wa nyumbani wa timu ya Kaduna United F.C..Uwanja huo una uwezo wa kauchukua idadi ya watu wapatao 10,000.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa mji wa Zaria kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.