Uwanja wa michezo wa manispaa ya Porto-Novo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Uwanja wa michezo wa Manispaa ya Porto-Novo ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana huko Porto-Novo, nchiniBenin. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya AS Porto Novo inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 20,000. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stadiums in Benin. worldstadiums.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2009-05-25.

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Porto-Novo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.