Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa ni uwanja unaotumika kwa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Mombasa nchini Kenya, lakini hutumika sana sana katika mchezo wa mpira wa miguu.

Uwanja huo una uwezo wa kustahimili watu takribani 10,000(Elfu kumi).[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.