Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Otunba Dipo Dina
Mandhari
Uwanja wa Kimataifa wa Otunba Dipo Dina , hapo zamani uwanja huo ulijulikana kama Gatewa, ni uwanja wenye matumizi mbalimbali unaopatikana Ijebu-Ode nchini Nigeria. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwuandaa michezo ya mpira wa miguu (soka) na michezo mingine na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya FC Ebedei. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 20,000. ulirekebishwa kwa ajili ya Kombe la Dunia la mwaka 2010.
Uwanja huo ulibadilishwa jina mnamo 2011 baada ya Otunba Dipo Dina mgombea wa kisiasa kuuawa .[1]
Nyumba ya sanaa ya picha
[hariri | hariri chanzo]-
Uwanja wa Kimataifa wa Gateway, Sagamu, jimbo la Ogun
-
Uwanja wa Kimataifa wa Gateway, Sagamu, jimbo la Ogun
-
Uwanja wa Gateway 2
-
Uwanja wa Gateway 3
-
Uwanja wa Gateway 4
-
sehemu ya kuingia uwanjani
-
Kiwanja cha historia cha Gateway
Viunga vya njee
[hariri | hariri chanzo]- https://web.archive.org/web/20110720215216/http://www.punchng.com/Articl.aspx?theartic=Art2009011823522084 Ijebu-Ode Stadium will shock FIFA – Daniel
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Larewaju, Kolade. "Nigeria: Amosun Vows to Bring Perpetrators of Political Killings to Book", Vanguard, AllAfrica Global Media, 29 May 2011.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Otunba Dipo Dina kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |