Uwanja wa michezo wa World Hope
Mandhari
Uwanja wa michezo wa World Hope, unajulikana hasa kwa jina la Hope Centre,[1] ni uwanja mahususi kwa mchezo wa mpira wa miguu unaopatikana katika eneo la Kawangware,mjini Nairobi nchini Kenya. Kwa sasa unatumika na Nairobi City Stars timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, na unasimamiwa na utawala wa Polisi na shirika la mapato Kenya. Uwanja unachukua takribani watu 5,000.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa World Hope kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |