Uwanja wa michezo wa Wobi Bobo-Dioulasso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Wobi Bobo-Dioulasso ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana huko Bobo-Dioulasso, nchiniBurkina Faso. Kwa sasa unatumika sana kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Union Sportive du Foyer de la Régie Abidjan-Niger. Uwanja una uwezo wa kubeba takribani idadi ya washabiki 10,000.


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wobi Bobo-Dioulasso kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.