Uwanja wa michezo wa Tolip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Tolip , kinajulikana kama Borg El Arab Stadium subfield, ni uwanja wa Chama cha mpira wa miguu kilichopo uko Borg El Arab, Alexandria nchini Misri. Na hutumiwa zaidi kama uwanja wa mazoezi wa timu iyo kabla ya mechi kwenye uwanja huo pia unatumiwa na Pharco FC kuandaa mechi zao za nyumbani, pia timu ya taifa kuandaa mechi zao za kirafiki.

Ligi kuu ya [[misri] ilipoanza mwaka 20172018,timu ya El Raja SC,kutoka Mersa Matruh, iliutumia uwanja huu kama uwanja wake wa nyumbani kwa sababu hakukua na uwanja unaofaa kucheza mechi za ligi kuu uko Mersa Matruh.[1]

[2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tolip kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.