Uwanja wa michezo wa Tobruk
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Tobruk ni uwanja wenye matumizi mengi huko Tobruk nchini Libya. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu soka na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Al Soukour. Uwanja huo una uwezo wakuchukua watu 2,000.
Viunga vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://www.worldstadiums.com/africa/countries/libya.shtml Ilihifadhiwa 25 Juni 2017 kwenye Wayback Machine. Stadium information
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tobruk kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |