Uwanja wa michezo wa Sheikh Chadae
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Sheikh Chadae[1] pia unajulikana kama Uwanja wa michezo wa Al Akhda, (katika Kiarabuملعب شيخ الشهداء) unatumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali na unapatikana huko Bayda, nchini Libya. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu soka na michezo tofauti. "Al Akhda" ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya "Al Akhdar Al Bayda" Uwanja huo unaingiza watu 7,000, na wakati mwingine hadi watu 10,000.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Azzahf Al-Akhder News". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-07. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sheikh Chadae kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |